Maharusi wakiwa na nyuso za furaha
Viongozi wa juu nchini Misri wametoa tamko baada ya uvamizi wakati wa usiku katika nyumba ya ubatizo mjini Cairo na hivyo kusababisha wanaume nane kukabiliwa na mashtaka ya mzaha wa kidini na kutafsiriwa kama ufisadi.
Mahaba ya jinsi moja hayajapigwa marufuku nchini Misri,lakini watu wanaoshukiwa kuwa si 'rizki' huweza kukabiliwa na mashtaka ya mzaha katika dini na ufisadi.
Wanaume hao nane walitiwa korokoroni siku za karibuni kwa kukiuka maadili ya umma na hii ni baada ya video moja kuachiliwa ikionesha ndoa iliyofungwa ya wapenzi wa jinsi moja na kuanikwa katika mitandao ya kijamii.