SHALOOM MC NA KILANGA BOY WAKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUREKODI NGOMA YA MPYAA.
Shaloom Mc na Kilanga boy
Shaloom mc na kilanga boy wakiwa katika harakati ya kurekodi ngoma.Kumekuwa na mzozo wa kutoelewa mpaka kufikia hatua ya kutaka kupigana wakiwa katika studio za hard mayaah recods.
Shaloom mc akiwa amemkaba kilanga boy

Baada ya mzozo huo waliachanishwa na zoezi la kurekodi lilisitishwa katika studio hizo za hard mayaah recods,Mpaka hapo muhafaka hutakapo fikia.